
KAPOMBE APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA
BEKI wa kazi chafu, mzawa Shomari Kapombe anayekipiga ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco pamoja na msaidizi wake Seleman Matola ameteuliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mashabiki kwa mwezi Februari. Kapombe ametwaa tuzo hiyo kwa kuwashinda wenzake wawili ambao aliingia nao fainali katika kuwania tuzo hiyo. Beki wa kati Henock Inonga…