
ISHU YA SUMU KWA MMILIKI WA CHELSEA YATAJWA
MMILIKI wa Klabu ya Chelsea inayoshiriki Ligi Kuu England, Roman Abramovich imeripotiwa kuwa yupo sawa baada ya kutajwa kuwa na dalili za maumivu katika macho huku ikitajwa kuwa ni sumu za kemikali. Kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi wa mtandao wa Bellingcat, Abramovich na Ukraine walikuwa katika mazungumzo ya masuala ya amani alikuwa akisumbuliwa na…