
MAZINGIRA MAGUMU KWA SASA WACHEZAJI WAJILINDE,WALINDWE
KUNA namna ya kufanya hasa katika kipindi kigumu ambacho wanakuwa wanapitia wachezaji kwenye kusaka ushindi ndani ya uwanja bado wanapaswa kulindwa na kupewa kile ambacho wanastahili. Kawaida ya wapambanaji ni muhimu kulindwa kwa kuwa wakati huu wa mzunguko wa pili mambo huwa yanakuwa tofauti na mengi hubadilika. Tunaona kwamba wachezaji muhimu ambao ni chaguo la…