
MSHINDI WA BSS NI MOSES LUKA, DIAMOND PLATNUMZ ATANGAZA KUWASAINI
SUPASTAA wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameweka wazi kuvutiwa na vipaji vya Mshindi wa kwanza na Wapili wa BSS ili kuwasaini katika Lebo yake hiyo. Diamond ameyasema hayo usiku wa kuamkia leo Machi 1, 2025 katika fainali ya mashindano hayo ya kusaka vipaji ya Bongo Star Seach…