
PAMBANO LA BABA NA MWANA LEO NI MIKE TYSON DHIDI YA JAKE PAUL
Pambano kali la masumbwi linapigwa leo pale jijini Texas Marekani ambapo litakutanisha miamba miwili kati ya Mike Tyson dhidi ya Jake Paul, Huku likitazamwa kama pambano la Baba na mwana kutokana na umri ambao Mike Tyson amemuacha kijana Jake Paul. Bondia Mike Tyson maarufu kama Iron Mike ambaye alikua bingwa wa dunia uzito wa juu…