
GUARDIOLA ABAINISHA VINICIUS HAKABIKI
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amebainisha kwamba sio rahisi kumdhibiti Vinicius Jr ila iliwezekana kupitia kwa Fernandinho. Manchester City ilipata ushindi wa mabao 4-3 dhidi ya Real Madrid kwenye mchezo wa hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyochezwa Uwanja wa Etihad. Wao City walikuwa ni wenyeji na waliibuka na ushindi…