
SAFU YA USHAMBULIAJI YAMLIZA PABLO
PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa tatizo ambalo linamsumbua kwa sasa ni ubora wa wachezaji wake hasa kwenye safu ya ushambuliaji. Kwenye mchezo wao mzunguko wa pili dhidi ya Azam FC Uwanja wa Azam Complex uliochezwa Mei 18, mabingwa hao watetezi walilazimisha sare ya kufungana bao 1-1. Ni Rodgers Kola alifunga dk ya 37…