ORLANDO SIO WATU WAZURI LAZIMA SIMBA IJIPANGE

TAYARI ile ngwe ya kwanza kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali kwa Simba imeshakamilisha na mpango kazi wa awali umeshakwisha. Mbele ya mashabiki wao wengi waliojitokeza 60,000, Simba ilifanikiwa kushinda bao 1-0 dhidi ya Kaizer Chiefs kwenye mchezo ambao ulikuwa unahitajika ushindi. Hapa ni dk 90 za mwanzo nyumbani na kuna dk nyingine za…

Read More

SIMBA:HATUTARUDIA MAKOSA,TUTAFUZU NUSU FAINALI

BAADA ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Orlando Pirates kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC wamesema wanakwenda Afrika Kusini kumalizia kazi na wanaamini kwamba hawatarudia makosa. Jumapili, Aprili 17,Simba iliibuka na ushindi huo katika Uwanja wa Mkapa, Dar, Jumapili ijayo watarudiana nchini Afrika Kusini ambapo…

Read More

MANCHESTER CITY YAISHUSHA LIVERPOOL

KLABU ya Manchester City imefikisha pointi 77 huku Liverpool ikiwa na pointi 76 zote zimecheza mechi 32 na City ni namba moja kwenye msimamo. Ushindi wa mabao 3-0 Brighton and Hove Albion umetosha kuwarejesha tena kileleni. Mabao Uwanja wa Etihad yalifungwa na Riyad Mahrez dk 53,Phil Foden dk 65 na Bernardo Silva dk 82. City…

Read More

ARSENAL WAIBOMOA CHELSEA STAMFORD BRIDGE

WAKIWA ndani ya Uwanja wa Stamford Bridge mbele ya mashabiki 32,249 Arsenal wamegoma kuchana mkeka na badala yake wameishushia kichapo Chelsea ikiwa nyumbani. Baada ya dk 90 ubao ulisoma Chelsea 2-4 Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu England uliokuwa ni wa kukata na shoka. Mabao ya wenyeji Chelsea yalifungwa na Timo Werner dk 17 na…

Read More

SIMBA WAIVUTIA KASI ORLANDO PIRATES

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kimeanza kuwavutia kasi wapinzani kimataifa kwa ajili ya mchezo wao wa marudio. Simba ina kazi ya kusaka ushindi ama sare katika mchezo wao ujao dhidi ya Orlando Pirates baada ya ule wa awali ambao ni wa robo fainali ya kwanza kuweza kushinda bao 1-0. Meneja wa…

Read More

MTAMBO WA MABAO SIMBA KUIKOSA ORLANDO PIRATES

MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Sima, Bernard Morrison kwenye mechi za kimataifa anatarajiwa kuukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Orlando Pirates. Ni mabao matatu ambayo amefunga na kutoa pasi tatu na amesababisha penalti moja hivyo kahusika kwenye mabao 7 kati ya 17 ambayo yamefungwa na timu hiyo  katika mechi za kuanzia hatua ya…

Read More

YANGA YAPANIA KUIVURUGA SIMBA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba utawavurugia hesabu za kutwaa pointi tatu Simba watakapokutana Aprili 30 kwa kuwafunga mapema ili kukamilisha hesabu. Vinara hao wa ligi wakiwa na pointi 51 wamewaacha wapinzani wao Simba kwa pointi 10 na timu zote mbili zimecheza mechi 19. Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa wanajua kwamba mchezo…

Read More

KMC YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA GEITA GOLD

CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa KMC amesema kuwa kwa sasa wanafanya maandalizi kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Geita Gold unaotarajiwa kuchezwa Aprili 23,Uwanja wa Nyankumbu.  Mwagala amesema kuwa mchezo wao uliopita walipata pointi hivyo hesabu zao ni kwenye mchezo wao ujao dhidi ya Geita Gold. “Tulicheza usiku mbele ya Kagera Sugar na tulipata…

Read More

MORRISON KUPEWA KAZI MAALUMU KWA AJILI YA YANGA

KUFUATIA kutokuwepo kwenye mipango ya mchezo wa marudiano wa robo fainali dhidi ya Orlando Pirates, benchi la ufundi la Simba limepanga kumuachia programu maalum kiungo mshambuliaji wao Mghana, Bernard Morrison kuhakikisha anakuwa sawa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaopigwa Aprili 30, mwaka huu. Simba wanatarajia kuvaana na Orlando Jumapili…

Read More

CHIZIKA NA GURUDUMU LA BAHATI KWENYE KASINO YA Meridianbet

HAYAWI hayawi sasa yamekuwa. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet kwa kushirikiana na watengenezaji mahiri wa michezo ya kasino za mitandaoni – Evolution Gaming, wanakuletea mchezo wa kijanja uitwao Crazy Time. Crazy Time ni mchezo wa kipekee kutoka studio za Evolution Gaming. Mchezo huu umejengwa na dhamira ya kukamilisha ndoto ambazo hudakwa na kinasa ndoto (Dream Catcher). Usisubiri kusimuliwa kwasababu, mchezo huu utakupa…

Read More

TANZANIA BADO INA KAZI KUBWA YA KUFANYA AFCON

BAADA ya kupangwa kwenye hatua ya makundi ya kufuzu Afcon ikiwa kundi F, mwandishi wa masuala ya michezo Tanzania, Marco Mzumbe amesema kuwa kuna kazi kubwa ya kufanya kwa Tanzania. Ni kundi F ambalo Tanzania imepangwa ikiwa na timu za Algeria,Uganda na Niger ikiwa ni kwa ajili ya kufuzu AFCON 2023. Mzumbe amesema ukiwatazama Algeria…

Read More