
SALAH AMPONGEZA SON KUTWAA KIATU CHA UFUNGAJI BORA
STAA wa Tottenham Son Heung-min ameweza kuweka rekodi yake ndani ya Ligi Kuu England baada ya kutwaa tuzo ya kiatu cha ufungaji bora alipoweza kufikisha mabao 23. Nyota huyo anakuwa raia wa kwanza kutoka bara la Asia kuweza kutwaa tuzo ya ufungaji bora ndani ya Ligi Kuu England iliyoisha msimu wa 2021/22 alipoweza kufikisha mabao…