
MASTAA HAWA 11 WANASEPA NDANI YA MANCHESTER UNITED
KLABU ya Manchester United, imethibitisha kuondoka kwa nyota wake 11, kati ya hao yupo Paul Pogba na Jesse Lingard. Wachezaji hao wanaondoka kwa sababu tofauti ikiwemo mikataba yao kumalizika na wengine kustaafu kucheza soka. Edinson Cavani, Paul Pogba, Nemanja Matic, Jesse Lingard na Juan Mata, wanaondoka baada ya mikataba yao kumalizika. Kipa Lee Grant, yeye…