UWANJA WA MKAPA WAFUNGIWA, SIMBA HATIHATI KUCHEZA KIMATAIFA

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika, (CAF) limeufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na eneo la kuchezea kuendelea kupungua ubora wake hivyo kuna hatihati ikiwa maboresho hayatakamilika mapema wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba kutoutumia uwanja huo. Taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa CAF imeelekeza eneo hilo liboreshwe haraka kufikia viwango…

Read More

MANCHESTER UNITED YATANGAZA KUJENGA UWANJA MPYA

Timu ya Manchester United rasmi sasa imetangaza kujenga Uwanja mpya utakaoingiza watazamaji 100,000 kwa wakati mmoja. Uwanja huo ndio utakuwa Uwanja mkubwa zaidi katika Taifa la Uingereza kwani Wembley ndio Uwanja mkubwa kwa sasa na unachukua watu 90,000. Ukubwa wa Uwanja huu utakuwa sawa na Uwanja kama Uwanja wa Barcelona Camp Nou. Taarifa hiyo imetolewa…

Read More

HASIRA ZA SIMBA KUHAMIA HAPA KISA KARIAKOO DABI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hasira zakukosa mchezo wa Kariakoo Dabi ambao ulitarajiwa kuchezwa Machi 8 2025 Uwanja wa Mkapa watazihamishia kwa wapinzani wao TMA Stars mchezo wa CRDB Federation Cup. Ikumbukwe kwamba mchezo huo ulikuwa ukisubiriwa kwa shauku kubwa kati ya Yanga na Simba, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) ilitoa taarifa…

Read More