
YANGA YATUPA DONGO KIMTINDO SIMBA
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amewapiga dongo kiaina wapinzani wao Simba kwa kubainisha kwamba mashabiki wa timu iliyoshinda wanapaswa kuamka mapema wengine saa 7 mchana. Yanga Mei 28 iliweza kuwatungua watani zao wa jadi Simba kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho, Uwanja wa CCM Kirumba. Bao pekee la ushindi…