
YACOUBA KUIKOSA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
WAKATI wakiwa kwenye maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Coastal Union, Yanga itakosa huduma ya mshambuliaji wao mmoja. Ni Yacouba Songne ambaye amekuwa nje kwa muda mrefu baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa Yanga,Cedrick…