
ARSENAL WAINASA SAINI YA KIUNGO MSHAMBULIAJI
KLABU ya Arsenal ya nchini Uingereza imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji wa klabu ya FC Porto ya nchini Ureno Fabio Vieira (22). Arsenal imekamilisha dili la kumsajili kiungo uyo kwa ada ya Paundi milioni 34 ambayo ni sawa na Shilingi Bilioni 96.9 za kitanzania ambapo itatoa Paundi milioni 30 kwanza halafu Paundi milioni 4…