
KATWILA ATAJA KILICHOWAREJESHA LIGI KUU BARA
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu amesema kuwa kurejea kwao ndani ya Ligi Kuu Bara kumetokana na mipango mizuri iliyopangwa pamoja na ushirikiano kutoka kwa wachezaji. Ihefu ilishuuka ndani ya ligi msimu uliopita wa 2020/21 na sasa umerejea ndani ya ligi kwa ajili ya kuendelea na ushindani kwa mara nyingine tena. Katwila ameweka wazi kwamba…