
SIMBA YAWAPIGIA HESABU HIZI WAARABU
FADLU Davids, Kocha Mkuu wa kikosi cha Simba ambacho kinapeperusha bendera ya Tanzania kimataifa amesema hesabu kubwa ni kuona wanapata matokeo chanya kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry ya Misri ambao unatarajiwa kuchezwa leo saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Miongoni mwa wachezaji ambao wapo nchini Misri ni…