KIUNGO WA SIMBA JEAN AHOUA BADO HAJAELEWEKA

NDANI ya kikosi cha Simba mtambo wa kutengeneza mabao ni Jean Ahoua ambaye haeleweki kutokana na kiwango chake kuwa cha kupwa na kujaa lakini ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ipo wazi kwamba Simba kwenye ligi ni namba moja katika msimamo ikiwa na pointi 40 baada ya kucheza mechi 15 ni namba…

Read More

MZIZE ANA BALAA ZITO HUKO KAWAKIMBIZA WAKALI

CLEMENT Mzize, mchezaji bora Desemba amewakimbiza wachezaji wenye rekodi kutokana na kusepa na tuzo hiyo mbele ya mastaa wenye rekodi zao ndani ya NBC. Kwenye mechi nne ambazo alicheza, Mzize alifunga mabao manne na kutoa pasi tatu za mabao akikomba dakika 288 na Yanga ilikuwa nafasi ya tatu ndani ya Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na…

Read More

CONGO BRAZZAVILLE YAONDOLEWA CHAN

Congo Brazzaville imeondolewa kushiriki michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) inayotarajiwa kufanyika Agosti mwaka huu. Michuano hiyo itafanyikia nchini Kenya, Uganda na Tanzania katika tarehe ambazo bado hazijawekwa wazi. Congo Brazaville waliokuwa Kundi D pamoja na Nigeria, Sudan na Senegal wnafasi yao imechukuliwa na Equatorial Guinea. Kutolewa kwao kunafuatia madai kwamba walimchezesha mchezaji…

Read More

KITITA KIPO KWENYE CHAMPIONS LEAGUE JUMATANO HII

Sehemu ni moja tu leo ambayo inaweza kukuhakikishia unachukua kibunda chako cha kutosha na sio sehemu nyingine bali ni pale Meridianbet kupitia michuano ya ligi ya mabingwa ulaya ambapo itachezwa michezo kadhaa yenye Odds kubwa kabisa. Klabu ya PSG leo itashuka dimbani kumenyana na vijana wa Pep Guardiola Manchester City ambao hawapo kwenye ubora mkubwa…

Read More

UEFA YAJA NA MKWANJA LEO MECHI ZINAENDELEA

Je unajua kuwa ukiwa na mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet, unaweza ukaibuka bingwa siku ya leo?. Mechi za UEFA zinaendelea leo huku kila timu ikihitaji ushindi kujiweka nafasi nzuri. Tengeneza jamvi lako la ushindi hapa. Slovan Bratislava watamleta kwao VFB Stuttgart ya kule Ujerumani na mpaka sasa wana pointi saba kwenye msimamo, huku mwenyeji yeye…

Read More

MKUTANO MKUU WA KAWAIDA WA CECAFA KUFANYIKA KESHO JUBA

Mkutano huo utakaohudhuriwa na zaidi ya wajumbe 50 utafanyikia katika hoteli ya Imperial Plaza mjini Juba. Auka John Gecheo, Mkurugenzi Mtendaji wa CECAFA alithibitisha kuwa Rais wa WAFU A, Bajo Lamin Kaba, Rais UNIFAC, Maolas Jean Guy Blaise na makamu wa Rais wa WAFU B Gasua Ibrahim Musa watakuwa miongoni mwa wageni katika mkutano huo….

Read More

DROO YA KUPANGA MAKUNDI AFCON 2025 KUFANYIKA JAN 27

Droo ya kupanga makundi ya mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2025) inatarajiwa kufanyika Januari 27, 2025, jijini Rabat, Morocco. Hafla hiyo itawakutanisha wawakilishi wa timu 24 zilizofuzu, zikiwemo zile kutoka Afrika Mashariki kama Tanzania. Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026 ambapo waandaaji wa mashindano hayo ni Morocco.

Read More