
SIMBA TAMBO TUPU KISA MITAMBO HII YA MABAO
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wachezaji wao wanatimiza majukumu kwa umakini jambo ambalo linaongeza hatari kwao wakiwa mbele kwa kufunga mabao mengi kwenye mechi za ushindani. Ipo wazi kwamba Leonel Ateba ni kiongozi kwenye safu ya ushambuliaji akiwa ametupia mabao matano na kinara wa kutengeneza pasi za mwisho ni kiungo mshambuliaji Jean Ahoua mwenye…