
VIDEO:SAMAKIBA UWANJA WA MKAPA NI JUNI 18,MANARA AWAITA MASHABIKI
JUMAMOSI Juni 18/2022 Uwanja wa Benjamini Mkapa unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Samakiba na Haji Manara ameweka wazi kuwa ni kwa muda wa miaka mitano jambo hili linafanyika.
JUMAMOSI Juni 18/2022 Uwanja wa Benjamini Mkapa unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Samakiba na Haji Manara ameweka wazi kuwa ni kwa muda wa miaka mitano jambo hili linafanyika.
IMEELEZWA kuwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Gavin Hunt yupo kwenye rada za mabosi wa Simba ili achukue mikoba ya Pablo Franco. Kocha huyo alikuwa kwenye benchi la ufundi Mei 15,2020 wakati timu yake ikishinda mchezo wa kwanza mbele ya Simba kwa mabao 4-0. Kwa sasa kikosi cha Simba kipo chini…
UTAZAME ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
MUDA wa mahesabu wapo ambao huwa hawajali itakuaje zaidi ya kuendelea kupambana mpaka wanafikia lengo lao wakiamini kwamba anayecheka mwisho huwa na furaha zaidi. Kuna mastaa msimu wa 2021/22 kwao walianza kwa kusausa na sasa ligi ikiwa inakaribia kumeguka kwa shimo limeanza kutema jioni kabisa namna hii:- Jeremia Juma Staa wa kwanza kufunga hat trick…
Pengine unaweza kudhani mashindano ya mwaka huu ni kama yamesusiwa na wachezaji, mataifa makubwa yanaanguka viwanjani. Mkeka wako wa UEFA Nations League umetusua au umechanika? Hizi hapa Odds bora wikiendi hii; Uingereza kuitupa karata yake ndani ya Wembley kuchuana na Italia, maumivu ya kupoteza fainali ya Euro 2020 yanaweza kuwapa chachu vijana wa Southgate kupata…
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba ambaye kwa sasa ni Kaimu Kocha Mkuu wa timu hiyo ameanza kazi kwa kuwapa mbinu wachezaji wa timu hiyo kwa ajili ya mechi zilizobaki. Ikiwa imecheza mechi 25 na kukusanya pointi 51 imebakiwa na mechi tano kukamilisha mzunguko wa pili na kufunga hesabu kwa msimu wa 2021/22. Matola Juni…
KIKOSI cha Yanga kimeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa kirafiki wa kuweza kujiweka sawa. Mchezo wa leo ni maalumu kwa ajili ya timu hiyo kujiweka sawa kuelekea mchezo wao wa ligi ujao. Juni 15,2022 Yanga inatarajiwa kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa…
BAADA ya kupoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya timu ya Taifa ya Algeria katika mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu Kombe la mataifa ya Afrika (Afcon 2023), Kocha Mkuu wa Stars, Kim Poulsen ameweka wazi kuwa atatumia michezo miwili ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (Chan), kama sehemu ya…
KIUNGO mshambuliaji wa Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast, Stephane Aziz Ki, huenda akavunja rekodi ya usajili ya beki wa kulia wa timu hiyo, Djuma Shaaban. Nyota huyo raia wa Burkina Faso inaelezwa yupo nchini Tanzania akiwa amefichwa na mabosi wa Yanga kwenye moja ya hoteli kubwa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya…
MWANAMUZIKI maarufu wa Hip Hop nchini na mbunge mstaafu wa Mikumi, Joseph Haule (Prof. Jay) aliruhusiwa kurejea nyumbani Juni 9, 2022 kutoka hospitali alikokuwa amelazwa baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na afya yake kuimarika. Leo Juni 10 Hospitali ya Taifa Muhimbili imeeleza taarifa hiyo kupitia kwenye mtandao wake wa kijamii. Nyota huyo aliwahi…
NASREDDINE Nabi,Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake bado wana kazi ya kufanya kwa ajili ya mechi zilizobaki na kufikia malengo ya kutwaa ubingwa wa ligi. Yanga ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo ikiwa na pointi 64 baada ya kucheza 26 na haijapoteza mchezo hata mmoja. Nabi amesema kuwa licha ya kuwaacha wapinzani wao…
SHIRIKISHO la Soka Tanzania,(TFF) limeweza kutoa kombe jipya la Ligi Kuu Bara ambalo litakabidhiwa kwa mabingwa wapya wa msimu wa 2021/22 ambapo Yanga inapewa nafasi kubwa ya kutwaa taji hilo
NYOTA wa kikosi cha Azam FC, Ibrahim Ajibu ameweza kurejea katika kikosi hicho hivyo anatarajiwa kuwa miongoni mwa wale watakaoonyesha makeke kwa mechi zijazo. Ingizo hilo jipya ndani ya Azam FC msimu huu liliibuka hapo kutokea ndani ya Simba na halijawa kwenye mwendo mzuri. Sababu kubwa za kukosekana kwenye kikosi hicho ni matatizo ya kifamilia…
DEAL Done, Simba yamalizana na kiungo Mingeria,kikao chafanyika hotelini usiku
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wanamtazama kwa ukaribu kiungo wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Aziz Ki ili waweze kupata saini yake. Nyota huyo pia anatajwa kuingia kwenye rada za Simba ambao nao pia wanahitaji kumpata kwa ajili ya msimu mpya. Nyota huyo ni raia wa Burkina Faso aliweza kufanya vizuri akiwa na timu yake…
IMEELEZWA kuwa miongoni mwa nyota ambao wapo kwenye hesabu za kuweza kusajiliwa ndani ya Simba ni pamoja na kiungo Luis Miquissone. Nyota huyo alikuwa ndani ya Simba msimu wa 2020/21 na alijiunga na Al Ahly msimu wa 2021/22 ambapo kwa sasa bado yupo huku nchini Misri. Waarabu hao wa Misri msimu huu wamekwama kushinda taji…