
SIMBA KUELEKEA AFRIKA KUSINI KESHO KULINDA USHINDI WAKE DHIDI YA STELLENBOSCH
Klabu ya Simba Sc imetangaza kuwa kikosi cha wachezaji 23 cha timu hiyo kitaondoka kesho asubuhi kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Stellenbosch. Kikosi hicho kitaondoka na Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ikipitia Johannesburg…