
PSG YAMFUTA KAZI POCHETTINO,KOCHA MPYA ATANGAZWA
KLABU ya Paris Saint Germain ya nchini Ufaransa imemtimua kazi kocha wake raia wa Argentina Mauricio Pochettino ikiwa ni baada ya kuwa klabuni hapo kwa kipindi cha mwaka mmoja tu. Pochettino ambaye amewahi kuwa kocha wa Totenham Hotspurs ya nchini Uingereza ametimuliwa kibaruani baada ya kutokuwa na matokeo mazuri katika mashindano ya Klabu Bingwa Barani…