
BEKI APEWA MKATABA MGUMU AKUBALI KUSAINI JANGWANI
MABOSI wa Yanga wamempa mkataba mgumu wa mwaka mmoja wenye masharti beki wake wa kati, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ hiyo ikiwa ni siku chache tangu beki huyo atambulishwe kuendelea kubakia kuichezea timu hiyo. Awali, beki huyo alikuwa katika mipango ya kuachwa pamoja na baadhi ya wachezaji akiwemo Yassin Mustapha, Deus Kaseke na Paul Godfrey ‘Boxer’. Taarifa…