
PRINCE DUBE AMKIMBIZA ATEBA
MWAMBA Prince Dube mshambuliaji wa Yanga amemkimbiza kwenye suala la kucheka na nyavu mshambuliaji wa Simba, Leonel Ateba. Wakali hawa wamekuwa na mwendelezo wao kwenye mechi ambazo wanacheza ndani ya uwanja huku Prince Dube akiwa nyota aliyeanza kwa kusuasua kabla ya gari kuwaka kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex. Ateba alianza…