KISINDA ATAJA SABABU ZA KUREJEA NDANI YA YANGA

TUISILA Kisinda kiungo wa Yanga ameweka wazi kuwa amereja kwa mara nyingine kufanya kazi ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Winga huyo wa Yanga amerejea kwa mara nyingine ndani ya Yanga baada ya kuuzwa msimu uliopita ndani ya kikosi cha RS Berkane ya nchini Morocco. Amerudi kwa mara nyingine kuitumikia Yanga…

Read More

YANGA HAINA HOFU NA MAMELODI KWAO AMANI TU

UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba hauna tatizo na wapinzani wao kwenye anga la kimataifa Mamelodi Sundowns kwa kuwa vita yao ni ndani ya dakika 90 uwanjani. Yanga wameweka wazi kuwakama kuna mashabiki wao ambao wapo Tanzania wajitokeze kwa wingi uwanjani kikubwa ni kuona wanapata burudani kwenye mchezo huo wa kimataifa unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa….

Read More

MASTAA WA UNYAMANI WAMEANZA KAZI UTURUKI

MASTAA wa kikosi cha Simba ambao wamejiunga na timu hiyo Julai 18 wameanza mazoezi na wachezaji wengine waliotangulia. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kikosi hicho kimeanza maandalizi ikiwa ni kwa ajili ya msimu wa 2023/24. Ikumbukwe kwamba ni Yanga walitwaa ubingwa msimu wa 2022/23 huku Simba ikigotea nafasi ya pili. Ni Che Malone Fondoh,…

Read More

ARSENAL WAPO JUU KILA KONA

KILA kona wapo juu hawa Arsenal wakiwa ni namba moja ukiweka kando Ligi Kuu England hata kwenye Kundi A katika Europa League ni namba moja. Ushindi wa mabao 3-0 walioupata dhidi ya Bodo/Glimt unawafanya wawe hapo nafasi ya kwanza kwenye mchezo uliochezwa usiku wa kuamkia leo. Ni mabao ya Eddie Nketiah dakika ya 23, Rob…

Read More

YANGA KAZINI TENA LEO AMAAN

MABINGWA watetezi wa Kombe la Mapinduzi, Yanga leo wanakazi ya kusaka ushindi mbele ya KMKM mchezo unaotarajiwa kuchezwa saa 10:15 jioni. Ni Uwanja wa Amaan mchezo huo unatarajiwa kuchezwa mbele ya mashabiki wa timu hiyo ambao wamekuwa wakijitokeza kwa wingi kushuhudia burudani. Mchezo wa kwanza wa Yanga ilikuwa mbele ya Taifa Jang’ombe na iliweza kuibuka…

Read More

KATWILA ATAJA KILICHOWAREJESHA LIGI KUU BARA

ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu amesema kuwa kurejea kwao ndani ya Ligi Kuu Bara kumetokana na mipango mizuri iliyopangwa pamoja na ushirikiano kutoka kwa wachezaji. Ihefu ilishuuka ndani ya ligi msimu uliopita wa 2020/21 na sasa umerejea ndani ya ligi kwa ajili ya kuendelea na ushindani kwa mara nyingine tena. Katwila ameweka wazi kwamba…

Read More

MASTAA HAWA 6 WA YANGA KUIKOSA KAGERA SUGAR

DICKOSN Ambundo,beki wa Yanga ni miongoni mwa nyota ambao wataukosa mchezo wa leo Februari 27 dhidi ya Kagera Sugar. Job ambaye ni beki wa kati anaukosa mchezo wa leo kutokana na kuwa kwenye mwendelezo wa kutumikia adhabu ya kifungo cha mechi tatu ambacho alipata kutokana na kucheza mchezo usio wa kiungwana mbele ya Richardson Ng’odya…

Read More

SLOTI YA WILD SPIN KASINO CHOTA MIBONASI

Kila mtu amekuwa akiwa kupambana na maisha, vijana wengi wanawake kwa wanaume wako busy na harakati za mjini, kuna wengine ni wazee wa mishemishe yote kwa yote ili mkono uende kinywani. Sasa ngoja nikusogezee chimbo moja wapo linaloweza kukupatia mkwanja kila muda unapohitaji, ni ulimwengu maridhawa wa kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet. Kwenye ulimwengu huo…

Read More