
RASTA WA MTIBWA SUGAR ATUA DODOMA JIJI
KAZI bado inaendelea kwa walima Zabibu, Dodoma Jiji baada ya leo Julai 23,2022 kumtambulisha winga mshambuliaji, Salum Kihimbwa rasta kutoka Mtibwa Sugar. Nyota huyo anatajwa kupewa dili la mwaka mmoja ni miongoni mwa mastaa ambao walikuwa ndani ya Mtibwa Sugar msimu wa 2021/22 na wakatimiza lengo la timu hiyo kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara…