
KOCHA KIM POULSEN AONDOLEWA, JUMA KASEJA APATA DILI
SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limetangaza kufikia makubaliano ya kumuondoa kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Kim Poulsen kwenye benchi la ufundi pamoja na wasiaidizi wake. Alipoteza mechi 7 alipata ushindi kwenye mechi 6 na sare kwenye mechi nne alipewa mkataba wa miaka mitatu kuinoa timu ya Stars. Kocha huyo alichukua mikoba ya Ettiene…