
WAARABU WAIPA SIMBA KIFAA,KAMBOLE APEWA JEZI NGUMU
WAARABU waipa Simba kifaa, mbadala wa Sakho, Kambole apewa jezi ngumu ndani ya Spoti Xtra Jumapili
WAARABU waipa Simba kifaa, mbadala wa Sakho, Kambole apewa jezi ngumu ndani ya Spoti Xtra Jumapili
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara mara 28,Yanga wachezaji wao rasmi wameanza mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya katika Mji wa Avic Town, Kigamboni ilipo kambi yao. Jana jioni ya Julai 23.wachezaji wa kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi walianza mazoezi kwa ajili ya msimu mpya wa 2022/23. Kambi yao haijachelewa kuanza kwa mujibu…
UWANJA wa Mkapa mchezo wa kuwania kufuu CHAN, timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars imeweza kuibuka na ushindi mbele ya Somalia. Ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Somalia 0-1 Tanzania na kuwafanya Watanzania kuweza kuanza kwa ushindi kwenye mchezo wa leo. Mtupiaji wa bao la Tanzania ni kiungo Abdul Suleiman, ‘Sopu’ ambaye alipachika bao hilo…
HASSAN Kessy beki wa zamani wa Yanga na Simba ambaye msimu wa 2021/22 alikuwa ni mali ya KMC anatajwa kumalizana na mabosi wa Ruvu Shooting. Kessy atajiunga na Ruvu Shooting akiwa ni mchezaji huru baada ya KMC kuweza kumshukuru kwa mchango wake ambao aliweza kuutoa kwa msimu uliopita. Ofisa Habari wa KMC,Christina Mwagala amesema kuwa…
KIM Poulsen Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo kuwania kufuzu kuwania fainali za CHAN unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni Somalia watakuwa wenyeji kwenye mchezo wa leo na mchezo wa pili unatarajiwa kuchezwa Julai 30 ambapo Tanzania watakuwa wenyeji. Mshindi wa…
KAZI bado inaendelea kwa walima Zabibu, Dodoma Jiji baada ya leo Julai 23,2022 kumtambulisha winga mshambuliaji, Salum Kihimbwa rasta kutoka Mtibwa Sugar. Nyota huyo anatajwa kupewa dili la mwaka mmoja ni miongoni mwa mastaa ambao walikuwa ndani ya Mtibwa Sugar msimu wa 2021/22 na wakatimiza lengo la timu hiyo kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara…
NYOTA mzawa Simon Msuva ameweka wazi kuwa ni furaha kwake kuweza kuanza changamoto mpya katika Klabu ya Alqadsiah ya Saudi Arabia. Winga huyo hakuwa na timu kwa muda kutokana na kushughulikia kesi yake FIFA kuhusu mkataba wake na malipo na mwisho wa siku aliweza kushinda. Alikuwa anatajwa kuweza kurejea ndani ya klabu yake ya zamani…
BERNARD Morrison ni miongoni mwa wachezaji wa awali kuweza kufika ndani ya kambi AVIC Kigamboni kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23
Mchezo wa Titan Roulette Kama iliivyo ada, Meridianbet inakuletea michezo ya aina mbalimbali, Ofa,Odds kubwa na Bonasi kedekede. Meridianbet inakuletea mchezo bomba wenye miondoko ya kizamani unaojulikana kama Titan Roulette. Mchezo huu uliotengenezwa na watenganezaji wa michezo ya kasino maarufu kama Expanse Studios utakaoupata kwenye Kasino ya Mtandoni ya Meridianbet. Titan Roulette ni mchezo wenye…
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Simba, Mohamed Ouattara amebainisha kuwa alifuatilia malengo ya timu hiyo na kuweza kukubali kusaini katika timu hiyo. Kapewa dili la miaka miwili kuitumikia Klabu ya Simba ambayo inanolewa na Kocha Mkuu Zoran Maki raia wa Serbia. Beki huyo amebainisha kwamba anamatumaini makubwa ya kuweza kufanya vizuri ndani ya timu…
JAFARY Kibaya nyota aliyekuwa anakipiga ndani ya Mtibwa Sugar sasa ni mali ya Ihefu FC ya Mbeya baada ya kutambulishwa jana Julai 22,2022. Nyota huyo anakuwa miongoni mwa nyota wa mwanzo kutangazwa kwenye timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu,Zuber Katwila. Kibaya amesema:”Ni muda wa kutoa shukran zangu za dhati kwenu hakika mlinilea na kunikuza vizuri…
RAIS wa Senegal Macky Sall amempongeza mshambuliaji wa Simba raia wa Senegal Pape Ousmane Sakho kwa kutwaa tuzo ya bao bora la mashindano ya CAF. Rais Sall amempongeza Sakho sambamba na wachezaji wengine wa Taifa hilo akiwemo mshambuliaji wa Klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani Sadio Mane, Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mchezaji…
TUZO ya Sakho yazua balaa Afrika,Aziz KI,Morrison wawekewa mtego kambini Yanga SC ndani ya Championi Jumamosi
KIUNGO mshambuliaji wa Manchester City, Jack Grealish ametabiri kuwa mshambuliaji mpya wa timu hiyo Erling Haaland hatakamatika katika msimu wake wa kwanza ndani ya Premier. Nyota huyo mwenye miaka 22 ameonekana kuwa karibu sana na Grealish baada ya kujiunga na kikosi hicho akiwa kwenye wiki ya kwanza ya mazoezi nchini Marekani. ‘Erling anaonekana yupo vizuri…
HAJI Manara,Ofisa Habari wa Yanga baada ya kufungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa miaka miwili pamoja na faini ya milioni 20 ameweza kutoa shukrani
Kikosi cha Azam FC leo Julai 22 kimeelekea Misri kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara pamoja na mashindano mengine ikiwa ni pamoja na Kombe la Shirikisho na kitaweka kambi jijini El Gouna, Misri kwa siku 20. Kabla ya kukwea pia kuelekea Misri Azam FC wao walianza kambi ya ndani kwa ajili…
AGOSTI 8,2022 Simba inatarajiwa kucheza Simba Day ambapo inatarajiwa kucheza na Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Uwanja wa Mkapa