
MAYELE MTAMBO WA MABAO YANGA
NDANI ya Yanga ni Fiston Mayele anaongoza kwa kutupia mabao akiwa nayo matatu, aliwatungua Polisi Tanzania, Coastal Union na Mtibwa Sugar. Msimu uliopita Mayele alitupia mabao 16 na pasi nne za mabao kinara alikuwa ni George Mpole wa Geita Gold alitupia mabao 17. Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kila mchezaji anahitaji kufanya…