
SAUTI:ZORAN:NILETEENI MANZOKI
ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba anatajwa kuwaambia mabosi wa timu hiyo wamletee Manzoki ili aweze kuongeza nguvu kweye safu ya ushambuliaji, ikishindikana basi atafutwe mwingine kwa ajili ya kuogeza nguvu katia kikosi hicho