
KWA PENATI SIMBA SC BALAA ZITO, KWENYE KAZI NYINGINE
NDANI ya Ligi Kuu Bara, Simba ni namba moja katika timu zilizofunga mabao mengi ya penalti ambazo ni 10 kwa msimu wa 2024/25. Kwenye penalti hizo ni 9 zilifungwa huku moja ilikoswa na Leonel Ateba ilikuwa dhidi ya Namungo FC Uwanja wa Majaliwa. Katika mchezo huo Simba SC ilipata penati tatu, mbili zilifungwa na Jean…