
MUTALE, DUCHU, MZAMIRU WAANZA KIKOSI CHA KWANZA
KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba, Mzamiru Yassin ameanza kikosi cha kwanza dhidi ya Kilimanjaro Wonders ikiwa ni mchezo wa CRDB Federation Cup. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi, Yanga walishuka uwanjani Januari 25 2025 na kupata ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Copco huku nyota Israel Mwenda ingizo jipya likianza kikosi cha kwanza…