KIUNGO TIMU YA TAIFA CHINI YA UANGALIZI MAALUMU

KIUNGO wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Abdul Suleiman, ‘Sopu’ yupo chini ya uangalizi wa madaktari ili kuweza kurejea kwenye ubora wake. Kiungo huyo ni mali ya Azam FC alipata maumivu akiwa na timu yake ya Azam baada ya kurejea kutoka Misri walipokuwa wameweka kambi. Kiungo huyo ni miongoni mwa nyota walioitwa na…

Read More

SIMBA QUEENS YAFANYA KWELI KIMATAIFA

USHINDI wa mabao 5-1 dhidi ya AS Kigali umewapa nafasi Simba Queens kutinga hatua ya Fainali Ligi ya Wanawake Afrika Ukanda wa CECAFA. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex timu zote zilikuwa zinasaka ushindi ili kuweza kupata matokeo na kuweza kusonga mbele. Shukrni kwa mabao ya Vivian Carozone aliyefunga mawili, Opah Clement alitupia…

Read More

KIUNGO YANGA KUIBUKIA GEITA GOLD

NYOTA wa zamani wa Yanga, Said Ntibanzokiza anatajwa kumalizana na Klabu ya Geita Gold inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Nyota huyo ambaye alijenga pacha matata na Fiston Mayele alisepa ndani ya kikosi hicho mwishoni mwa msimu wa 2021/22 baada ya kandarasi yake kugota ukingoni. Ni dili la miaka miwili anatajwa kupewa nyota huyo ambaye ni…

Read More

MASTAA 10 KUTOKUWA NDANI YA GEITA GOLD

UONGOZI wa Geita Gold umeweka wazi kuwa makubaliano ya kuachana na wachezaji wao yamezingatia utaratibu kwa kuwa wanaheshimu mikataba ya wachezaji wao.  Timu hiyo imetangaza kuachana na wachezaji saba na kufikisha idadi ya wachezaji 9 ambao wameondoka katika kikosi hicho.  Wachezaji ambao hawatakuwa ndani ya Geita Gold ni pamoja na  Maka Edward, Ramadhan Athuman Teleza, Pius…

Read More

SIMBA KUCHEZA MECHI ZA KIMATAIFA

BAADA ya kuongoza kikosi cha Simba kwenye mechi mbili za ligi na kushinda zote, Zoran Maki, Kocha Mkuu wa Simba anatarajiwa kukiongoza kikosi hicho kwenye mechi za kimataifa za kirafiki ambapo wanatarajia kucheza na Asante Kotoko ya Ghana. Ni kwenye mashindan maalumu ambayo Simba wamealikwa yanatarajiwa kufanyika nchini Sudan wakialikwa na Klabu ya Al Hilal….

Read More

TEPSI NDANI YA STARS, KIM ATOA NENO

TEPSI Evance, kiungo wa Klabu ya Azam FC amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambacho kimeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo dhidi ya Uganda wa kuwania kufuzu CHAN unaotarajiwa kuchezwa Agosti 28,2022. Nyota huyo kwenye mechi mbili za ligi amefunga mabao mawili na kutoa pasi moja ya bao. Stars imeingia…

Read More

MAN UNITED YAICHAPA LIVERPOOL

 MANCHESTER United imesepa na pointi tatu mazima mbele ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Traford. Mabao ya Jadon Sancho dakika ya 16 na Marcus Rashford yalitosha kuipa pointi tatu muhimu timu hiyo. Bao la Liverpool lilifungwa na Mohamed Salah dakika ya 81. Rekodi zinaonyesha kuwa United ilipiga jumla ya…

Read More

WACHEZAJI NI MUDA WA KULINDANA WENYEWE

KUCHANGAMKA kwa mzunguko wa kwanza na wa pili kwenye ligi kumetokana na maandalizi mazuri ambayo yalifanywa na timu husika hilo halipingiki. Kwa timu ambazo zilikwama kupata matokeo hapo kuna sehemu ya kuangalia namna ya kuweza kuboresha na kuwa bora wakati ujao. Katika mechi za mzunguko wa kwanza na wa pili inaonekana kwamba wachezaji wanatumia nguvu…

Read More

KAGERA SUGAR:TUTAREJEA TUKIWA IMARA

FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amebainisha wazi kuwa makosa ambayo wameyafanya kwenye mechi mbili mfululizo watayafanyia kazi ili waweze kurejea wakiwa imara. Timu hiyo kwenye mechi mbili za ligi msimu wa 2022/23 imeyeyusha pointi sita mazima kwa kuwa ilifungwa kwenye mechi hizo. Ilianza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC, Uwanja wa…

Read More

NABI AOMBA WACHEZAJI WAPEWE ULINZI

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kuna umuhimu wa waamuzi kuweza kuwalinda wachezaji kwenye mechi zote ambazo wanacheza. Kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Agosti 20,2022 wakati ubao ukisoma Coastal Union 0-2 Yanga kiungo Jesus Moloko alikwama kukamilisha dakika 90. Kiungo huyo alitoka dakika ya 25 nafasi yake ikachukuliwa…

Read More