
MKUDE:HAIKUWA RAHISI KUSHINDA
JONAS Mkude, kiungo wa Simba amesema uwa haikuwa kazi rahisi kushinda mbele ya Tanzania Prisons kutokana na ugumu wa timu hiyo. Mkude alipachika bao la ushindi kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Sokoine, dakika ya 85 kwa pasi ya Kibu Dennis. “Kucheza na Tanzania Prisons kunahitaji kujipanga na timu ambayo itapata nafasi inaweza kushinda hivyo tulifanya…