
VIDEO:MANDONGA MTU KAZI ATEMA CHECHE
KARIM Mandonga ametangaza vita baada ya kutoka ulingoni Mtwara
KARIM Mandonga ametangaza vita baada ya kutoka ulingoni Mtwara
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga ambao wanaiwakislisha Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika mikataba yao imeboreshwa na kunampango wa kuboresha bonasi kila wanaposhinda
KLABU ya Soka ya Al-Ahli kutoka Saudi Arabia leo Jumapili Septemba 25, 2022 imemtangaza Pitso Mosimane kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo. Kabla ya Mosimane kujiunga na klabu hiyo alikuwa akiitumikia Klabu ya Al Ahly ya Misri. Al-Ahli inashiriki Ligi Daraja la pili nchini Saudi Arabia baada ya kushuka daraja msimu uliopita wa 2021/ 2022….
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya Malindi, Uwanja wa Amaan. Simba imealikwa kwenye mashindano maalumu Visiwani Zanzibar na leo itacheza mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Malindi. Jana Septemba 24 kikosi hicho kilifanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kujiandaa na mchezo…
SHABIKI wa Simba Mziwanda amezungumzia ishu ya kocha mpya Simba pamoja na suala la Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara
LITAKUFA jitu, CAF yaongeza mzuka Simba, Yanga ndani ya Spoti Xtra Jumapili
MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Ambangile amewazungumzia nyota wa Simba pamoja na sababu ya kuanza ugenini kimataifa
MANDONGA kama Mandonga ana kauli za kishujaa kweli msikie namna anavyosema hapa
MASTAA wawili wa Arsenal, Oleksandr Zinchenko na Martin Odegaard, imeelezwa kuwa watakuwa fiti kwa ajili ya mchezo wa Dabi ya London Kaskazini dhidi ya Tottenham, unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi ijayo. Mechi hiyo inasubiriwa kwa shauku kubwa itapigwa kwenye Uwanja wa Emirates huku ikizikutanisha timu hizo zilizopo ndani ya Top 3 kwenye Premier kwa sasa. Zinchenko aliukosa…
KAY Mziwanda shabiki wa Simba amesema kuwa kwa Yanga kupangiwa na Al Hilal ni kipimo sahihi kwao huku akibainisha kuwa Yanga haitaweza kuingia hatua ya makundi kwa kuwa wanakutana na Al Hilal na sio Zalan, amebainisha Simba ni kawaida kutinga hatua ya makundi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametaja mbinu nne ambazo atazitumia kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika kuwakabili Al Hilal
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Vijana Chini ya Miaka 23, leo Septemba 24 kimeanza safari kuelekea Rwanda. Kinatarajiwa kucheza na Timu ya Taifa ya Sudan Kusini kwenye mchezo wa marudiano kuwania kufuzu AFCON. Mchezo wa kwanza uliochezwa jana Septemba 23, Uwanja wa Azam Complex ubao ulisoma Tanzania 0-0 Sudan Kusini. Hemed Morocco, Kocha Mkuu…
KIUNGO wa Yanga, Bernard Morrison amezidi kuwa imara hali yake na tayari ameanza mazoezi na wachezaji wenzake. Nyota huyo alipata maumivu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC uliochezwa Uwanja wa Mkapa ambao waligawana pointi mojamoja. Ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 2-2 Azam FC na Morrison aliyeyusha dakika 90 lakini…
MASAA machache yamesalia kutoka hivi sasa leo Jumamosi Septemba 24, 2022 mabondia Twaha Kiduku na Abdo Khaled raia wa Misri kupanda ulingoni kuwania mkanda wa UBO Intercontinental kutoka Mtwara Ubabe Ubabe linalotarajia kupigwa kwenye Uwanja wa Nangwanda wa Sijaona mkoani Mtwara. Kiduku na Khaled wa wamepima uzito na tayari kwa pambano hilo la uzani wa…
NABI ataka krosi,kona bao, Mgunda atenga dakika 180 Simba ndani a Championi Jumamosi
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 23 leo Septemba 23 kimelazimisha suluhu dhidi ya Timu ya Taifa ya Sudan Kusini kwenye mchezo wa kuwania kufuzu AFCON. Mchezo huo umechezwa Uwanja wa Azam Complex ambapo wageni Sudan Kusini walicheza kwa umakini wakitumia mbinu ya kujilinda na kushambulia kwa kushtukiza. U 23 ilianza…