
AZAM FC MATUMAINI KIBAO KUWAKABILI WAARABU
BAADA ya kupoteza ugenini kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya Al Akhadar ya Libya, Azam FC hesabu zao ni kupata matokeo nyumbani.Wakiwa ugenini walikubali kipigo cha mabao 3-0 jambo ambalo linawafanya wawe na kibarua cha kusaka ushindi wa zaidi ya mabao matatu bila kufungwa wakiwa Azam Complex. Kocha Mkuu wa Azam FC, Denis Lavagne ameweka…