
MECHI KALI LEO ZIPO HAPA, WIKENDI YA USHINDI
Mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukurahisishia kazi kwa kukupatia kile ambacho unakipenda. Bashiri sasa. Ligi kuu ya Italia SERIE A leo kitawaka sana ambapo Atalanta atasafiri kumenyana dhidi ya Hellas Verona ambao wapo nafasi ya 13 wakiwa na pointi zao 23 pekee….