
MBEYA CITY 0-1 SIMBA
KITASA wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba , Mzamiru Yassin amepachika bao la kuongoza ugenini. Dakika ya 14 usomaji wa ubao wa Uwanja wa Sokoine ulibadilika na kusoma Mbeya City 0-1 Simba. Bao la Mzamiru limepachikwa dakika ya 14 kwa pasi ya mshambuliaji John Bocco. Dakika 45 zimekuwa na ushindani mkubwa kwa kila…