
NABI: SISI HATUONGEI SANA NI KUTAFUTA MATOKEO
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa wanatambua mchezo wao wa kesho utakuwa mgumu lakini wao hawaongei sana zaidi ni kutafuta matokeo. Yanga itawakaribisha Al Hilal kwenye mchezo wa raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika. Kocha huyo amebainisha kuwa maandalizi ambayo wameyafanya yanawapa imani ya kupata matokeo kwenye mchezo wao. “Sisi hatuongei…