
VIDEO:KIPA AZAM FC AFUNGUKIA UBORA WA TIMU HIYO
KIPA wa Azam FC ameweka wazi kuwa timu hiyo imekuwa kwenye mwendo bora kutokana na kujituma kwa wachezaji hao
KIPA wa Azam FC ameweka wazi kuwa timu hiyo imekuwa kwenye mwendo bora kutokana na kujituma kwa wachezaji hao
CLEMENT Mzinze nyota wa Yanga aliyezima ndoto za Kagera Sugar ya Mecky Maxime kutibua rekodi ya timu hiyo kutofungwa ni dereva bodaboda na fundi ujenzi. Nyota huyo alifunga bao pekee ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba uliposoma Kagera Sugar 0-1 Yanga dakika ya 18 akitumia pasi ya Feisal Salum. Mshambuliaji huyo amesema:-“ “Nimezaliwa Tanga nina…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umetoa baraka zote kwa kocha msaidizi wa timu hiyo Seleman Matola kuondoka. Matola anatarajiwa kuanza masomo ya masuala ya ukocha ambapo anatafuta Leseni A itakayompa fursa ya kuwa kocha mkuu kwenye timu yoyote. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa kila kitu kinakwenda sawa…
MATAIFA matatu yalifanya kazi kubwa kuipaisha Yanga kimataifa na kuipeleka kwenye hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Ni kupitia bao pekee la ushindi la Aziz Ki raia wa Burkina Faso ambaye alifunga bao hilo dakika ya 79 akitumia pasi ya Fiston Mayele raia wa DR Congo. Ikumbukwe kuwa kabla ya bao kupatikana lilipita kwenye…
LIGI Kuu Tanzania Bara leo Novemba 17,2022 inatarajiwa kuendeea kwa timu kuyeyusha dakika 90 msako wa pointi tatu muhimu. Ihefu ya Mbeya itawakaribisha Polisi Tanzania mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate, Mbeya. Mbeya City ya Mbeya itawakaribisha Kagera Sugar, Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Yanga ya Dar itawakaribisha Singida Big Stars, Uwanja wa Mkapa, Dar…
KIUNGO Abdul Suleiman, ‘Sopu’ ameanza kurejea kwenye ubora wake baada ya kuwa nje kwa muda akitibu majeraha yake. Ingizo hilo jipya kutoka Coastal Union hajawa kwenye mwendo bora ndani ya Azam FC kwa kuwa mudamwingi anatumia akiwa nje ya uwanja. Kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting wakati Azam FC ikishinda bao 1-0 alionyesha…
Kila baada ya miaka minne wapenda soka kote duniani huwa wanaungana na kushuhudia utamu wa burudani ya macho na moyo nikimaanisha hisia zote huwa uwanjani. Ndio Namaanisha Kombe la Dunia, ni jukwaa maalum kabisa la Mabingwa kuonesha ukali wao na Mabingwa wenzao. Na wewe una nafasi ya kuonesha ubingwa wako kwa kubeti kwenye…
CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga ameweka wazi kuwa mchezo wao wa kesho dhidi ya Singida Big Stars utakuwa na ushindani mkubwa na watakuwa na chaguo sahihi kwenye kikosi cha kwanza huku akiwataja wachezaji ambao watakosa mchezo wa kesho
MOSES Phiri nyota wa Simba amefunga bao pekee la ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Ulikuwa ni mchezo wa wazi kwa timu zote mbili kusaka ushindi ambapo kipindi cha kwanza Simba walimaliza mchezo kwa kupata bao la ushindi. Ilikuwa ni dakikaya 32 Phiri alipachika bao hilo na kuipa pointi tatu…
DJIGUI Diarra kipa namba moja wa Yanga ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Singida Big Stars kwa kuwa yupo kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Mali. Mdaka mishale huyo ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi hivyo kwa sasa amebakiwa na nyota wawili ambao ni Aboutwalib Mshery na Erick Johora. Pia Aziz…
KINARA wa utupiaji mabao ndani ya kikosi cha Azam FC ni Idris Mbombo ambaye ametupia mabao 6. Bao lake la sita aliwatungua Ruvu Shooting, Uwanja wa Azam FC kwa mkwaju wa penalti dakika ya 90. Linakuwa ni bao lake la pili la penalti msimu huu huku likiwa ni bao la kwanza kwake ufunga dakika za…
ISHU ya usajili safu ya ushambuliaji Simba Mgunda awataja mastaa
UONGOZI wa Manchester United umeweka wazi kuwa uko tayari kuvunja mkataba wa staa wao raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo. Sababu hiyo inakuja kutokana na staa huyo kuikosoa timu hiyo kupitia mahojiano ya moja kwa moja ya kipindi cha Talk TV cha mwandishi, Piers Morgan. Kwenye kipindi hicho Ronaldo alitoa tathmini nzito kuhusu Manchester United huku…
LIGI Kuu Tanzania Bara leo Novemba 16,2022 inaendelea kwa timu kuyeyusha dakika 90 kusaka pointi tatu. Mtibwa Sugar ambayo imetoka kupoteza mchezo wake uliopita dhidi ya Azam FC kwa kukubali ubao wa Uwanja wa Manungu usoma Mtibwa Sugar 3-4 Azam FC inakwakaribisha Coastal Union, Uwanja wa Manungu. Tanzania Prisons wao watakuwa na kibarua cha kusaka…
CAF yazipa Simba, Yanga waarabu, TP Mazembe, Pyramids zanukia kwa Mkapa ndani ya Championi Jumatano
JUMA Mgunda Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna wachezaji wengi kwenye kikosi hicho ambao nimajeruhi ikiwa ni pamoja na Nelson Okwa, Israel Mwenda jambo ambalo linaongeza ugumu
CLEMENT Mzize nyota aliyewatungua Kagera Sugar ameweka wazi kuwa Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi alimwambia kwamba ajiamini na acheze kama anavyofanya akiwa mazoezini.