
IJUMAA YA KIBABE IMEFIKA… MECHI KIBAO LEO DUNIANI
Mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo. Ujerumani kule BUNDESLIGA, Augsburg atamenyana dhidi ya RB Leipzig ambao wapo nafasi ya 4 na mwenyeji wake akiwa nafasi ya 12 hadi sasa. Mwenyeji…