
MANCHESTER UNITED YATINGA ROBO FAINALI CARABAO
KLABU ya Manchester United imetinga robo fainali ya Kombe la Carabao kufuatia ushindi wa moja kwa moja wa mabao 2-0 dhidi ya Burnley Uwanja wa Old Trafford. Bao la Christian Eriksen la kipindi cha kwanza kwa shuti kali kufuatia kazi nzuri ya beki wa kulia Aaron Wan-Bissaka liliipa United uongozi ilikuwa dakika ya 27. Juhudi…