
WANNE WA SIMBA KUIKOSA AZAM FC LEO KWA MKAPA
MASTAA wanne wa Simba wanatarajia kuukosa mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC kutokana na sababu mbalimbali. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda leo Oktoba 27,2022 ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mgunda ameweka wazi kuwa maandalizi…