
ORODHA YA TIMU AMBAZO ZIMEPATA PENATI NYINGI BONGO
LIGI Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 inaendelea huku ushindani ukiwa mkubwa huku kila timu ikipambania malengo yake ndani ya dakika 90. Kwenye eneo la utupiaji wachezaji wanaendelea kutimiza majukumu yao huku kiungo mshambuliaji Jean Ahoua akiwa namba moja akiwa katupia mabao 15 na pasi 7 za mabao. Ni Yanga SC inaongoza kwa timu yenye…