
KMC: TUMEHARIBU HATI SAFI YA CAMARA, BAHATI YAO
UONGOZI wa KMC FC umebainisha kuwa bahati ilikuwa upande wao Simba SC kupata matokeo kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Mei 8 2025 wakipoteza pointi tatu. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa KMC Complex ulisoma KMC FC 1-2 Simba SC, mabao yalifungwa na Rashid Chambo dakika ya 8 kwa upande wa KMC huku yale…