
VIDEO: SIRI ZITAKAZOWAMALIZA WAARABU, WALIOMSHIKA MKONO HAWA HAPA
MZEE wa saluti, shabiki wa Simba ametaja siri ambazo anaamini kwamba zitawapa matokeo chanya kwenye mchezo wa robo fainali ya pili dhidi ya Al Masri, Waarabu wa Misri mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Aprili 9 2025. Mzee wa Saluti ni miongoni mwa mashabiki ambao walikuwa nchini Misri na walishuhudia ubao wa Uwanja wa Suez…