
CHELSEA KUTEKETEZA TENA BIL 101
KLABU ya Chelsea wanajiandaa kutoa ofa ya kumsajili Malo Gusto wa Lyon, kwa Euro milioni 40 (Sh bil 101.4) kwa mujibu wa ripoti mbalimbali za habari ikiwemo ESPN. Hakuna ofa rasmi iliyotolewa na Chelsea kwa Gusto, lakini tayari amekubaliana na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka sita na nusu na anataka kuhamia Stamford Bridge. Lyon…