
YANGA YAISHUSHA KILELENI SIMBA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na beki ya NBC Yanga wamekomba pointi tatu muhimu na kuishusha Simba nafasi ya kwanza baada ya kufikisha jumla ya pointi 24 huku Simba wakiwa na pointi 40 nafasi ya pili kwenye msimamo. Yanga imecheza mechi 16 na Simba imecheza mechi 15 mchezo wake wa 16 unatarajiwa…