CHEZA SHINDANO LA EXPANSE KASINO! MAMILIONI YANAKUSUBIRI

Meridianbet wanaendeleza ubabe wao, na leo nakuletea ile Promosheni pendwa ya kujichukulia Maokoto, Shindano la Expanse ambapo ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka EXPANSE utajiweka kwenye nafasi ya kushinda Mamilioni leo. Jisajili sasa kuwa moja ya washindi. Shindano la Expanse Meridianbet litatoa zawadi na bonasi za kasino kwa washindi 40 pekee, ambao watakuwa na…

Read More

Si Rahisi Kukosa Pesa Ukibashiri na Meridianbet Mechi za EURO

Mbilinge mbilinge za michuano ya EURO zimepamba moto haswa ambapo timu karibia zote zimejiandaa kunyakua taji hili ambalo linaanza kupambaniwa Ijumaa hii. Nani kuchukua kombe hili?. Tengeneza jamvi lako na Meridianbet sasa.   TIMU ZINAZOPEWA NAFASI YA KUTWAA EURO 2024 Michuano ya EURO inatarajiwa kuanza Ijumaa hii hapa na ukiingia Meridianbet utakutana na “EURO 2024…

Read More

SIMBA YAKAMATIA REKODI HII BONGO

LICHA ya kugotea nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara na kusepa na tiketi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika ikiungana na Coastal Union ya Tanga. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda ambaye funga kazi yake ilikuwa Mei 28 Uwanja wa Mkapa aliposhuhudia ubao ukisoma Simba 2-0 JKT Tanzania mabao yakifungwa…

Read More

BAJETI YA YANGA MSIMU UJAO NI BILIONI 24.5

Mapato ya Yanga Msimu 2023/2024 Udhamini na haki za matangazao bilioni 10.19 Mapato mlangoni bilioni 1 Ada za Wanachama milioni 613 Zawadi za ushindi bilioni 3.9 Mapato mengine bilioni 5 Jumla ya mapato ni Bilioni 21 Bajeti ya Msimu ujao ni Bilioni 24.5 ambapo imeongezeka asilimia kumi tofauti na Msimu uliopita ambayo ni Bilioni 22.

Read More

AZAM FC: TUPO KAMILI GADO

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa upo kamili gado utapambana kufanya vizuri kitaifa na kimataifa msimu wa 2024/25 ndani ya uwanja kwa kufanya maandalizi mazuri. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo imemaliza ligi ikiwa nafasi ya pili na pointi 69 sawa na Simba iliyo nafasi ya tatu baada ya ushindani mkubwa kwa…

Read More

MWAMBA SAIDO ATAJWA COASTAL UNION

MKALI wa mabao ndani ya kikosi cha Simba msimu wa 2023/24 Saido Ntibanzokiza anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Coastal Union ya Tanga. Nyota huyo akiwa na kikosi cha Simba msimu wa 2023/24 ni mabao 11 alifunga akiwa namba moja kwenye chati ya wafungaji wa Simba ambapo kinara ni Aziz Ki wa Yanga mwenye…

Read More

LEO NI LEO KWA MABINGWA YANGA

SIKU iliyokuwa inasubiriwa na Wanachama pamoja na viongozi wa Yanga imewadia ambayo ni leo Juni 9 2024 ambapo kutakuwa na mkutano mkuu. Yanga  watafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi. Maandalizi yamekamilika kwa asilimia kubwa kuelekea kwenye mkutano huo ambao utakuwa wa kipekee…

Read More

KIBWANA SHOMARI TRANSFER UPDATES

Kibwana Shomari bado hajafanikiwa kupewa mkataba mpya na Yanga licha ya mkataba wake kumalizika. Mazungumzo ya mkataba mpya hayajawa kwa kiwango kikubwa kama ambavyo yapo kwa mastaa wengine kama Azizi Ki Kibwana Shomari malengo yake ni kusalia Yanga na kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha Kwanzaa. Lakini yupo tayari kuondoka endapo kuna timu itafikia…

Read More

YANGA WANA JAMBO LAO KUBWA

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wana jambo lao kubwa Juni 9 2024 ambapo ni Mkutano Mkuu wa Wanachama, (Annual General Meeting-AGM). Ni wazi kwamba chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Yanga imetwaa taji la Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 80 na ilitwaa taji la CRDB Federation Cup kwa ushindi dhidi ya Azam…

Read More

AZIZ KI UJANJA WAKE UPO HAPA BONGO

AZIZ Ki kiungo mshambuliaji wa Yanga ujanja wake ndani ya uwanja ni mguu wa kushoto ambao ametumia kufunga mabao mengi zaidi. Ipo wazi kuwa msimu wa 2023/24 nyota huyo ni namba moja kwa utupiaji akiwa katupia mabao 21 baada ya msimu kugota mwisho akiwa ni mfungaji bora. Ujanja wake akiwa uwanjani ni kwenye mguu wa…

Read More