
YANGA YAIPIGIA HESABU SINGIDA BLACK STARS
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni ligi namba nne kwa ubora Afrika ikiwa inadhaminiwa na NBC, Yanga wameweka wazi kuwa wanahitaji pointi tatu mbele ya Singida Black Stars. Huu ni mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC, Complex jioni saa 10:00 ikiwa ni mzunguko wa pili ndani ya 2024/25. Yanga baada ya…