
UEFA NI MOTO SANA LEO HII, BAYERN MUNICH WATAMENYANA DHIDI YA CELTIC
Ni siku nyingine tena ya usiku wa mabingwa amabpo timu kubwa zitashuka dimbani kuchuana vikali kusaka nafasi za kusonga mbele kwenye michuano hii mikubwa Ulaya. Ushindi wa pesa nyingi upo Meridianbet. Tukianza na Atalanta baada ya kupoteza ugenini leo hii watawaleta nyumbani kwao Club Brugge ya kule Ubelgiji. Mwenyeji yupo nafasi ya 3 kwenye ligi…